Nahodha Kristensen ndiye mshindi wa Tuzo ya Ushupavu ya IMO ya mwaka 2014




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mwaka mmoja baada ya kunusurika mlipuko uliotishia maisha wa watu 32 kwenye chombo chake, nahodha Andreas Kristensen na wafanyakazi wake wa Seaways Britannia wamepokea tuzo ya Shirika la Kimataifa la Masuala ya Bahari, IMO ya Ushupavu wa Kipekee Baharini ya mwaka wa 2014 katika sherehe iliyofanyika hapo jana. Wakati wa kupokea tuzo na cheti kwa [...]