Ronaldo, Neymar, Drogba na Lahm washiriki juhudi za kuongeza uelwa kuhusu Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Wachezaji bora wa Kandanda, ikiwa ni pamoja na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, Neymar Jr. kutoka Barcelona, Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba na Philip Lahm wa Bayern Munich, wamejiunga na vikosi vya pamoja na wataalam wa afya wa kimataifa ili kusaidia kuongeza uelewa wa kimataifa katika mapambano dhidi ya Ebola. Katika taarifa kwa vyombo [...]