Ban aitaka serikali ya Sudan kuruhusu UNAMID kulizuru eneo la Thabit




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea masikitiko yake kuhusiana na madai ya ubakaji wa halaiki katika eneo la Thabit, Darfur Kaskazini. Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMID  ulitembelea Thabit tarehe 9 Novemba, lakini uwepo mzito wa kijeshi na polisi ulifanya uchunguzi wa kina kuwa [...]