Summary: Msafara wa magari ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq UNAMI, umeshambuliwa karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa Baghdad. Nibu msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq amewaambia waaandishi wa habari mjini New York kuwa hakuna aliyeuwawa au kujeruhiwa katika shambulio hilo licha ya kuwa moja kati ya ya magari [...]