Uwajibishwaji haukwepeki DPRK: Mtaalamu




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya watu wa Korea (DPRK) Marzuki Darusman amesema suala la uwajibishwaji kwa wanaotenda uhalifu kinyume na binadmau nchini humo linasalia ajenda muhimu Akiongea baada ya kuhitimisha ziara yake mjini Seoul, Bwana Darusman amesema maoni hayo yanakuja muda mfupi kabla ya [...]