Kirusi cha polio chazuka Sudan Kusini na Madagascar




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza leo kuthibitishwa kuzuka kwa matukio mawili tofauti ya kirusi cha polio kitokanacho na kutopata dozi tosha ya chanjo ya mdomoni (OPV) katika nchi za Sudan Kusini na Madagascar. Nchini Sudan Kusini, visa viwili vya ugonjwa huo aina ya cVDPV2 vimethibitishwa katika jimbo la Unity, ambako waathiriwa wawili walianza [...]