Tupunguze kiwango cha mlo kadri jua lizamavyo: Mtaalamu akizungumzia Kisukari




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Tarehe 14 mwezi Novemba kila mwaka ni siku ya kisukari duniani. Siku hii ni Ikiwamahsusi kutathmini mwelekeo wa matibabu dhidi ya ugonjwa huo wenye aina mbili; Kisukari aina ya kwanza ambayo ni ya kurithi na aina ya pili inayotokana na mwili kushindwa kutumia vizuri kichocheo cha Insulin. Ujumbe wa mwaka huu ni maisha yenye afya [...]