Ban awapa heko raia wa Burkina Faso kuafikia katiba ya mpito




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amewapa heko watu wa Burkina Faso kufuatia kuafikia kwa pamoja katiba ya mpito, ambayo itatoa mwongozo wa kisheria kwa serikali ya kiraia ya mpito, hadi wakati wa uchaguzi mnamo Novemba mwaka 2015. Bwana Ban amesema anatazamia kuona kusainiwa kwa katiba hiyo, kuteuliwa na kusimikwa kwa rais wa [...]