Tahadhari: Ebola yatishia kudidimiza maendeleo- ripoti ya UM




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Umoja wa Mataifa umoenya kuwa taifa la Sierra Leone linapaswa kujiandaa kwa madhara ya kijamii na kiuchumi yatokanayo na tatizo la homa ya Ebola, kufuatia ripoti mpya ya utafiti uliofadhiliwa na Shirika la Mpango wa Maendeleo katika Umoja wa Mataifa, UNDP, Wizara ya Fedha na Maendeleo ya Kiuchumi Sierra Leone, Benki ya Dunia, Benki ya [...]