Wakati UNMEER ikifikiria kubadili mwelekeo wa huduma, daktari huko Mali aambukizwa Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kushughulikia dharura ya Ebola, UNMEER, Anthony Banbury amesema kadri mlipuko wa Ebola unavyobadili mwelekeo ni vyema kwenda na wakati na kutoa huduma kuligana na mazingira. Amesema hayo wakati huu ambapo idadi ya watu waliofariki dunia kutoka na Ebola imefikia 5,160 kati ya wagonjwa zaidi ya Elfu Kumi [...]