Ebola bado ni janga tuongeze usaidizi; Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amehutubia mkutano wa viongozi wa nchi za Kusini Mashariki mwa Asia, ASEAN huko Myanmar akiomba nchi hizo kuimarisha jitihada zao za kukabiliana na mlipuko wa Ebola huko Afrika Magharibi. Taarifa kamili na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Ban pamoja na kushukuru usaidizi wa baadhi ya nchi kwenye [...]