Ban akiwa Myanmar akutana na Aung San Suu Kyi




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aliyeko ziara huko Mashariki ya mbali amekuwa na mazungumzo na mwanaharakati na Mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy, NLD nchini Myanmar Angu San Suu Kyi. Wakati wa mazungumzo kati yao, Ban amepongeza dhima ya Suu Kyi kama kiognozi wa upinzani na mchango wake wa dhati [...]