Vifo vya surua vyapungua kidogo, WHO yaonya mkwamo wa kutoa chanjo




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Vifo vitokanavyo na surua vimepungua kidogo kwa asilimia 20 mwaka jana na hivyo angalizo limetolewa kuwa kuna hatari ya ugonjwa huo kuibuka upya limesema shirika la afya ulimwenguni WHO. Kwa mujibu wa takwimu za WHO zaidi ya watu 145,000 walifariki dunia  kutokana na ugonjwa huo mwaka 2013 na idadi hiyo imepungua hadi 122,000 mwaka [...]