Kipindi cha mpito cha kiraia Burkina Faso kianze haraka iwezekanavyo: Ibn Chambas




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Afrika Magharibi, Dkt. Mohammed Ibn Chambas amesema mazungumzo ya kurejesha utulivu nchini Burkina Faso yanaendelea vyema kati ya vyama vya siasa, vikundi vya kiraia na wananchi upande mmoja na viongozi wa kijeshi. Akihojiwa na Derrick Mbatha wa Radio ya Umoja wa Mataifa, Dkt. Chambas amesema hadi [...]