Vita, mizozo na majanga vyatishia MDGs Afrika:Ripoti




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ripoti mpya iliyozinduliwa  Jumamosi kwenye warsha ya kiuchumi barani Afrika huko Addis Ababa Ethiopia imesema wakati idadi ya Waafrika wanaofurahia viwango vya juu maishani ikiongezeka, nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ni lazima ziongeza juhudi zao za kuhakikisha mizozo ya kisiasa, majanga na magonjwa kama vile Ebola huko Afrika Magharibi haziathiri mafanikio [...]